Mitindo

Picha: Muonekano wa gauni la Serena Williams katika ndoa yake

Siku ya jana kulivuja tetesi kuwa mcheza tensi namba moja kwa ubora duniani, Serena Williams amefunga na mpenzi wake Alexis Ohanian huko Contemporary Arts Center, New Orleans nchini Marekani.

Wawili hao ambao wamebahatika kupata mtoto mmoja walifunga pingu za maisha huku mrembo huyo akitinga magauni matatu tofauti katika sherehe hiyo iliyoudhuliwa na watu wake wa karibu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents