Picha: Muonekano wa Kylie Jenner baada ya kupata mtoto wa kwanza

Mrembo kutoka familia ya Kardashian, Kylie Jenner amerudi tena mitandaoni baaada ya kujifungua mapema mwezi huu. Mtoto huyo wa kike ambaye amepewa jina la Stormi ni wa kwanza kwa Jenner na mpenzi wake rapper Travis Scott. Hizi ni picha mpya za mrembo Kylie Jenner alizopost mitandaoni baada ya kujifungua.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW