Michezo

Picha: Muonekano wa Serena Williams baada ya uzazi

Baadhi ya wanawake wamekuwa wakibadilika maumbo yao baada ya kutoka katika uzazi, ila mwanadada Serena Williams amedhihirisha kuwa mwanamke anaweza kurudi katika umbo lake la awali baada ya kujifungua.

Mcheza tenesi huyo kwa ubora duniani alifanikiwa kupata mtoto wake wa kwanza na mpenzi wake Alexis Olympian, mwezi Septemba mwaka huu.

Mrembo huyo alitokea katika zuria jekundu la Glamour Women Of The Year Awards i sherehe zilizokuwa zikifanyika  maeneo ya Kings Theatre Brooklyn, NewYork siku ya jana.

Picha za mrembo huyo:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents