Picha

Picha: Mwana FA aongoza msafara wa ‘Fistula Inatibika’ Bukoba

By  | 

Katika kuelekea kuadhimisha siku ya Fistula Duniani, 23/5/2013, kampuni ya Vodacom kwa kushirikiana na taasisi ys CCBRT wameandaa safari ya kuzunguka nchi nzima inayofahamika kama ‘Fistula Inatibika’ kutokea Bukoba hadi Dar es Salaam kwenye kilele cha maadhimisho ya siku hiyo kwenye viwanja vya CCBRT yatakayopokelewa na Rais Jakaya Kikwete.

Bukoba Mjini - Uzinduzi wa Kampeni (1)

Bukoba Mjini - Uzinduzi wa Kampeni (2)

Bukoba Mjini - Uzinduzi wa Kampeni (3)

Bukoba Mjini - Uzinduzi wa Kampeni (4)

Safari hiyo inayohusisha pia kupita kwenye sehemu mbalimbali kuwapa wananchi ujumbe kuwa Fistula inatibika, itajumuisha pia kukusanya ujumbe kutoka kwa familia zilizoathirika na Fistula kupeleka kwa Rais hapo tarehe 23 ya mwezi huu.

Bukoba Mjini - Uzinduzi wa Kampeni (6)

Bukoba Mjini - Uzinduzi wa Kampeni (8)

Bukoba Mjini - Uzinduzi wa Kampeni (9)

Chato Kampeni (1)

Chato Kampeni (2)

Msafara huo utakaochukua jumla ya siku saba, unaongozwa na mwanamuziki wa kizazi kipya, Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana FA, ambaye atakuwa akiwapa elimu kuhusiana na Fistula wananchi wa sehemu tofauti tofauti watakaopitiwa na msafara huo.

Chato Kampeni (3)

Chato Kampeni (5)

Chato Kampeni (6)

Chato Kampeni (8)
MwanaFA akizungumza wakati wa uzinduzi wa safari hiyo katika viwanja vya Bukoba Sokoni hapo jana.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments