Burudani

Picha: MwanaFA aufungua mwaka mpya na mkoko mpya

Mwaka mpya na mambo mapya. Mwana FA ameufungua mwaka 2014 kwa ndinga mpya, Mark X, Toyota Mark X.

y

Picha ya kwanza ya gari hilo la FA iliwekwa jana na Jaffarai baada ya hitmaker huyo wa ‘Kama Zamani’ kwenda kuliosha. Ma nigga @mwanafa came to shower….real niggaz supports real nigga,” aliandika Jaffarai kwenye picha ya gari hilo ambalo bado lina ‘chassis number’

Naye Mwana FA alipost picha ya gari hilo kwenye Instagram na kuandika: Shower … kwa @ jaffaraijaffarhymes.

a
b

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents