Burudani ya Michezo Live

Picha: Mwanaume atumia keki kueleza hisia za mpenzi

Mwamaume mmoja nchini Nigeria amenunua vipande vya keki 30 (Cups Cake) na kuziandikia ujumbe wenye sababu 30 za kumpenda mpenzi wake huyo.

Picha za keki hizo zimepigwa na kusambazwa na muuzaji keki.

Je! Wewe unatumia nini kuelezea hisia zako kwa yule umpendaye?

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW