Picha: Mwili wa Albert Mangwea ulivyoagwa, mtazame Q-Chief alivyoishiwa nguvu na kushikiliwa
Hizi ni picha zinazowaonesha watu mbalimbali hususan mastaa wa Tanzania walipokuwa wakipita kuuaga mwili wa marehemu Albert Mangwea leo kwenye uwanja wa Leaders Club jijini Dar es Salaam. Picha za mwanzo ni za wanakamati wa mazishi ya rapper huyo inayoongozwa na Adam Juma wa Visual Lab.
Arthur
Lady Jaydee (katikati)
Kamati ya mazishi
Adam Juma akitoa shukrani kwa niaba ya kamati ya mazishi
B12 wa Clouds FM
Nikki Mbishi akitoa heshima zake za mwisho
Profesa Jay
Deo Shija
Dj Fetty
Barnaba
Fid Q
Q-Chief akiwa na majonzi mazito
Hali ilikuwa mbaya kwa Chief ambaye mara baada ya kuuaga mwili alishikiliwa na watu ili asianguke
Mwili wa Mangwea
Zola D
Model aliyewahi kuigiza kwenye video ya Nikusaidiaje ya Prof J
Seven
CEO wa Bongo5 Luca Neghesti akitoa heshima zake za mwisho
Sakina Lyoka wa Clouds TV
Big Jah Man
Ben Pol
Akili The Brain
MB Dog
B Boy
DJ Tass wa Magic FM
Aunt Sadaka
Mheshimiwa Temba (wa tatu)
D-Knob (wa katikati)
Dancer wa Diamond
DJ D-White wa Radio One
Dude
Ali Kiba
Danny Msimamo(katikati)
Joh Makini (wa pili)
Mke wa Black Rhyno, Beatrice
Black Rhyno
Mtitu
Monalisa
Gosby
Kalapina
Nyandu Tozi
Lord Eyez
Mzee Magali
Wakazi
Quick Rocka
Izzo B
Keisha
Dayna
Shilole
Menina
Diamond
Mataluma
Dr Cheni