Burudani

Picha: Namna Heineken ilivyowaburudisha wapenzi wa tamasha la Nyama Choma

Andrew Mahiga at NCF 2014
Andrew Mahiga akiwa na Arthur katika tamasha la Nyama Choma hivi karibuni jijini Dar es Salaam
Cpwaa, Muhana and Mrusha - Nyama Choma
Msanii wa Bongo Fleva, Cpwaa akiwa ndani la tamasha la Nyama Choma hivi karibuni jijini Dar es Salaam
Guess guy - Heineken
Mpenzi wa burudani akifurahia kuwa ndani ya banda la Heineken ndani ya Nyama Choma festival hivi karibuni

Millard and Uche at NCF
Millard Ayo akitangaza mshindi wa shindano la Heineken ya kwenda Amsterdam nchini Hollanzi, kulia kwake Mkurugenzi Mkuu wa Heineken Uche Unigwe
MOW Heineken
Wapenzi wa Heineken wakiburudika ndani ya Nyama Choma festival
ncf 1
Wapenzi wa Heineken wakiburudika ndani ya Nyama Choma festival
NCF 3
Pool table guy with Heineken bottle
Akbar Thabeet akijitahirisha kucheza mchezo wa pool ndani la tamasha la Nyama Choma

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents