Picha

Picha: Nas na mwanzilishi wa Facebook Mark Zuckerberg waongea biashara!!

9LvCfE2_zps3f526409

Rapper Nas weekend hii alijumuika kwenye chakula cha usiku na miongoni mwa madon kwenye biashara ya technolojia, CEO wa Facebook Mark Zuckerberg (na mke wake Priscilla) pamoja na bilionea Ben Horowitz.

Kama ukipata muda wa kula chakula na mabilionea, ni wazi kuwa maongezi yalihusu pesa na uwekezaji.Picha za watatu hao zilizoenea kwenye mtandao wa Instagram zimezua maswali mengi lakini wengi wanahisi Nas anaweza kupewa mchongo wa maana na Facebook, ambayo inamilikiwa na Mark na Ben akiwa amewekeza kupitia kampuni yake tajiri ya Andreessen Horowitz.

Mark, Nas na Ben kwenye chakula cha jioni
Mark, Nas na Ben kwenye chakula cha jioni

BA1qrZY_zps0da4f3b1

Nas akibadilishana story na bilionea Ben Horowitz
Nas akibadilishana story na bilionea Ben Horowitz
Nas akizungumza na Mark Zuckerberg
Nas akizungumza na Mark Zuckerberg

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents