Habari

Picha: Ndege mpya ya Kenya Airways ‘Boeing 777-300ER’ ikiwa inaundwa katika kiwanda cha Boeing

Shirika la ndege la Kenya ‘Kenya Airways’ linatarajia kupokea ndege mpya ya Boeing 777-300ER mwezi ujao (October) ikiwa ndio ndege kubwa zaidi ya shirika hilo ambalo pia hufanya safari za kuja Tanzania.

k1

Boeing 777-300ER ina uwezo wa kubeba abiria 400.

Tazama picha za ndege hiyo ikiwa kiwandani wakati wa inaundwa maalum kabisa kwaajili ya Kenya Airways

k2

k3

k4

k5

k6

k7

Picha: Nairobi Wire

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents