Habari

Picha: NEC walivyomuaga Kailima Ramadhani

Tume Ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) imemuaga aliyekuwa aliyekuwa Mkurugenzi wa uchaguzi, Kailima Ramadhani anaeenda kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage (kulia) akimkabidhi ua aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani ikiwa ni ishara ya kumuaga na kumtakia kila la kheri katika kutekeleza majukumu ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Tazama Picha zaidi:

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage (kulia) akimkabidhi ua aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani ikiwa ni ishara ya kumuaga na kumtakia kila la kheri katika kutekeleza majukumu ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.Kushoto ni Mkurugenzi mpya wa Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia


Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage (katikati) akizungumza kwenye kikao cha kumuaga aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani ambaye kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.Kushoto ni Mkurugenzi mpya wa Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia


Aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani ambaye kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi akizungumza kwenye kikao cha Tume cha kumuaga.Katikati ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage na Mkurugenzi mpya wa Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia


Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpiga Kura Giveness Aswile akitoa neno la kumuaga aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani kwa niaba ya wakuu wa Idara za Tume wenzake.Kilia ni Mkuu wa Idara ya Uendeshaji Uchaguzi Irene Kadushi


Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage (kulia) akimpa mkono wa kumuaga aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani ambaye kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.Kushoto ni Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia


Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Athumani Kihamia akimpa mkono wa kumuaga Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Bw. Kailima Ramadhani .Katikati ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji (R) Semistocles Kaijage

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents