Picha

Picha: Ney wa Mitego,Fid Q watisha kwenye tamasha la ‘Airtel Yatosha’ Coco Beach

Wasanii mbalimbali wakiwemo Fid Q na Ney wa Mitego jana wamekamua vilivyo kwenye promotion ya Airtel Yatosha iliyofanyika Coco Beach jijini Dar es Salaam. Hizi ni baadhi ya picha za jana.

2

4

5
6

7

11

12

Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel Levi Nyakundi akibadilishana mawazo na Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando wakati wa tamasha la Airtel yatosha lililofanyika Cocobeach jijini Dar es Saalam mwishoni mwa wiki

Picha kwa hisani ya michuzijr.blogspot.com/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents