BurudaniUncategorized

Picha: Ni kweli Taraji wa Empire amefulia?

Muigizaji wa Marekani Taraji Henson maarufu kama Cookie katika tamthilia ya Empire, amewashangaza mashabiki kwa kubadilisha muonekano wake wa nywele.

Katika picha zilizosambaa mitandaoni zinamuonyesha Taraji akiwa kwenye mtindo mpya ambao amenyoa nywele. Muigizaji huyo ambaye amepata umaarufu kupitia tamthilia hiyo akiigiza kama mama wa vijana watutu wote wakiwa na tabia tofauti, ameibua maswali mengi kwa mashabiki huku wengine wakidhania huwenda mrembo huyo amefulia kwenye suala la fedha.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents