Picha
Picha: Nicki Minaj katika muonekano mpya
Tangu awe jaji wa American Idol Nicki Minaj ametaka watu wamchukulie serious kidogo na ndio maana ameanza kubadilisha muonekano wake wa kimdoli na kujiweka kawaida kiasi. Hizi ni picha za muonekano wake wa sasa.