Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Picha: North West alivalishwa ‘bulletproof’ kwenye fashion show ya baba yake

Kanye West na Kim Kardashian hawako tayari kuona mtoto wao North anadhurika kwa namna yoyote ile na ndio maana hivi karibuni kwenye fashion show ya baba yake alivishwa bulletproof.

MAIN-North-West

Mtoto huyo alivalishwa nguo hiyo kwenye show hiyo iliyofanyika jijini New York wiki iliyopita.

Kanye-West-and-Adidas-Originals

Kim ameshare picha ya mwanae huyo kwenye Instagram na kuandika: Look at my little cutie!!! #DaddysMuse#BabyYeezyBulletProofVest.”

Related Articles

Leave a Reply

Bongo5

FREE
VIEW