Burudani

Picha: Official Dj wa Chris Brown,DJ Babey Drew alivyopiga show

Official Dj wa msanii machachari wa R&B Chris Brown anayekwenda kwa jina la Dj Babey Drew wikiendi hii alifanya shoo ya nguvu pale Savannah Lounge ndani ya Quality Centre.

Shoo hiyo ambayo ilifanyika usiku wa Jumamosi ilihudhuriwa na watu wachache, lakini Dj huyo kutoka Marekani hakukata tamaa na kuwarusha wabongo waliojitokeza pamoja na kuonyesha uwezo wa hali ya juu.

Cheki Picha;

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents