Michezo
Picha: Ommy Dimpoz na Salama J waushuhudia mtanange wa Arsenal na Liverpool – Emirates
Jumapili hii (Feb 16) Ommy Dimpoz na Salama Jabir walikuwa mashuhuda wa mtanange wa wakali wa England, Arsenal na Liverpool iliyofanyika kwenye uwanja wa Emirates nchini humo.
Arsenal iliibuka na ushindi wa mabao 2 kwa 1. Ommy na Salama walikuwa nchini Uingereza kwenye show ya Valentine’s Day.