Picha

Picha: P-Square waingia rasmi kwenye biashara ya mafuta

Baada ya kuhakikisha kuwa wana mijengo ya uhakika Nigeria na Marekani, hatimaye mapacha wa P-Square wameingia rasmi kwenye biashara ya mafuta.

ba71ad568a6611e2a2ab22000a1fb84b_7

Kupitia Instagram, Peter Okoye amepost picha inayoonesha wakiwa bandari kupokea mapipa kadhaa ya mafuta tayari kwa biashara kuanza.

“Hustle must continue…. Oil business tinz….. No time,” ameandika kwenye moja ya picha.
“Nmmhh … More business #Oilsector.”

9a99630c8a6611e2ace922000a1f90f6_7

Na katika picha nyingine ameandika, “When u start from the bottom..Who knows? God bless ma hustle. Wink.

76a9b77a8a6711e2ace922000a1f90f6_7
Wakati huo huo, kundi hilo linatarajia kupiga show nchini Malawi kesho Ijumaa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents