Picha

Picha: P-Square wakisimamia ujenzi wa jumba lao jipya, Nigeria

Inaonekana jumba la SquareVille la mapacha wanaopendwa zaidi Afrika, P-Square haliwatoshi na ndio maana wameamua kupandisha mansion nyingine.

470fbbb680e111e2b20722000a1f97fa_7

Ndugu hao wa Okoyes wanadaiwa kuwa na ujenzi wa jumba jingine la kifahari huko ParkView Estate maeneo ya Ikoyi, Lagos. Ujenzi wa nyumba jumba hilo ulianza mwaka jana wakati wasanii hao walipokuwa na ziara katika nchi za Afrika.

Hizi ni picha zilizowekwa na Jude Okoye kwenye page ya Instagram zikimuonesha akiwa na mdogo wake Peter Okoye kutazama maendeleo ya ujenzi huo.

Yo Jude, I want the Swimming Pool up there o!’
Yo Jude, I want the Swimming Pool up there o!’

January 2013, ndugu hao walinunua jumba jingine jijini San Francisco, Marekani. Mapacha hao juzi walikuwa na show nchini Angola na kujaza nyomi ya kufa mtu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents