Events

Picha: Poetry Addiction 3rd FIX – Triniti Dar es Salaam

Kampuni ya Cheusi Dawa ya Fid Q, jana ilifanikisha kwa mara ya tatu kuandaa showya Poetry Addiction aka ‘Uraibu wa Ushairi’ iliyofanyika kwenye ukumbi wa Triniti jijini Dar es Salaam. Show ya jana ilishuhudia wasichana pekee wakitumbuiza wakiwemo, Aichi, Kethi, Charlotte O’Neal maarufu kama Mama C, Jade, Vanessa Mdee, Grace Matata, Elizabeth Mwakijambile na wengine.

IMG_0512
Aichi akiliweka sawa gitaa lake tayari kuanza kutoa burudani

Fid Q akiwa na rafiki yake.
Hii ni mara ya tatu Fid Q ameandaa Poetry Addiction akishirikiana na Choice FM ambayo hufanyika kila mwezi

Gress Matata.
Grace Matata akiimba kwa hisia

IMG_0646
Charlotte O’Neal aka Mama C akitumbuiza

Songa aliwa na Gress Matata.
One the Incredible akiwa na Grace Matata wakibadilishana mawili matatu

Watu wajitokeza kwa wingi.
Watu walijitokeza kwa wingi ikiwa ni ishara kuwa Poetry Addition inaendelea kukua zaidi

IMG_0497
Elizabeth Mwakijambile, Epiq Bongo Star Search (kushoto) akitumbuiza

IMG_0505
Elizabeth Mwakijambile

IMG_0513
Aichi

IMG_0514

IMG_0515
Watu wa kila aina walijitokeza jana kushuhudia burudani ya live band

IMG_0516
Mwanadada Aichi akionesha ujuzi wa kuimba huku akicharaza gitaa

IMG_0524
Watazamaji wakifurahia tumbuizo la ‘Uraibu wa Ushairi’

IMG_0527
Aichi (kushoto) akifurahia jambo

IMG_0627
Grace Matata

IMG_0629
Profesa Ludigo (katikati) akiteta kitu na rafiki yake

IMG_0636
Grace Matata na Tecla Nendeze

IMG_0525
Langa Sarakikya

IMG_0578
Dj Jaybee

IMG_0580
Carol the Poet

IMG_0575
Dj Jaybee na Carol

IMG_0585
Hilda (BBA Stargame)

IMG_0579

IMG_0533

IMG_0535

IMG_0540

IMG_0638

IMG_0641

IMG_0642

IMG_0644

IMG_0492

IMG_0504

IMG_0509

IMG_0520

IMG_0544

IMG_0572

IMG_0573

IMG_0588

IMG_0594

IMG_0602

IMG_0614

IMG_0615

IMG_0616

IMG_0618

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents