Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Picha: Raila Odinga amtembelea rais wa zamani wa Kenya, Moi

Kiongozi wa umoja wa vyama vya upinzani nchini Kenya (NASA), Raila Odinga leo (Alhamisi) amemtembelea rais wa zamani wa nchi hiyo, Daniel Toroitich arap Moi kwenye makazi yake yaliyopo huko Nakuru.

Rais Moi alirudi Kenya hivi karibuni kutoka nje alipokuwa akipatiwa matibabu.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW