Siasa

Picha: Rais Jakaya Kikwete aongoza mazishi ya Bi. Kidude

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, leo ameongoza mazishi ya mwanamuziki mkongwe wa Taarab nchini, Fatuma binti Baraka maarufu kama Bi. Kidude.

DSC_3130

Bi Kidude alifariki dunia jana kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya sukari na uvimbe kwenye kongosho. Mazishi hayo yamehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali, watu mashuhuri, wasanii na watu wengine mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi. Hizi ni picha za mazishi hayo.

DSC_3087

DSC_3083

DSC_3082

DSC_3079

DSC_3077

DSC_3075

DSC_3074

DSC_3172

DSC_3167

DSC_3154

DSC_3153

DSC_3148

DSC_3144

DSC_3142

DSC_3139

DSC_3135

DSC_3133

DSC_3131

DSC_3124

DSC_3115

DSC_3122

DSC_3112

DSC_3107

DSC_3099

DSC_3097

DSC_3094

DSC_3091

DSC_3090

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents