Picha: Rais Magufuli alivyozindua kituo cha uwekezaji cha JWTZ na viwanda vya Suma JKT

Leo Alhamisi ya Mei 17, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amezindua kituo cha uwekezaji cha Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) pamoja na viwanda vya maji na ushonaji vinavyomilikiwa na Suma JKT vilivyopo jijini Dar es Salaam.

Tazama picha zaidi hapa chini.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW