Habari

Picha: Rais Magufuli amjulia hali Mzee Kingunge

Rais Dkt. John Magufuli amemjulia hali Mzee Kingunge Ngombale Mwiru aliyelazwa katika wodi ya Mwaisela, Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Rais Magufuli akiwa hospitali ya Muhimbili kumjulia hali Mzee Kingunge.

Mzee Kingunge anatibiwa majeraha baada ya kushambuliwa na mbwa nyumbani kwake. Hali ya mzee Kingunge inaendelea vizuri kwa sasa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents