Habari

Picha: Rais Magufuli apokea hati za utambulisho za mabalozi sita

By  | 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amepokea hati za utambulisho toka kwa mabalozi sita walioteliewa kuziwakilisha nchi zao hapa nchini.

Rais Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa balozi mpya wa Nigeria nchini Sahabu Gada.

Rais Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa balozi mpya wa Poland nchini Krysztof Buzalski.

Rais Dkt Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa balozi mpya wa Uturuki-TZ Ali Davutoglu.

Rais Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa balozi mpya wa Ufaransa-TZ Frederic Clavier.

Rais Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa balozi mpya wa Israel Noah Gal Gendler.

Rais Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa balozi mpya wa Australia nchini Alison Chartres.

Picha zote na Ikulu

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments