HabariUncategorized

Picha: Rais Magufuli ndani ya chumba cha Matangazo TBC

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli amemaliza ziara yake katika ofisi za Shirika la Utangazaji la TBC ambapo alipokwenda kuzungumza na uongozi wa shirika hilo na wafanyakazi.

Rais Magufuli akipokelewa na Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe alipotembelea ofisi za Shirika la Taifa la Utangazaji TBC Mikocheni Dar es salaam

Rais John Magufuli amemaliza ziara yake katika ofisi za Shirika la Utangazaji la TBC. Ambapo Rais Magufuli amekwenda ofisi hizo leo asubuhi na kuzungumza na uongozi wa TBC pamoja na kusikiliza kero za wafanyakazi.

Picha na Ikulu:



Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents