Habari
Picha: Rais wa Msumbiji awasili mjini Dodoma
Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi amewasili mjini Dodoma kukutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.