Picha: Rapper Yo Gotti amzawadia mwanae wa miaka 16 gari la kifahari kwenye birthday yake

Rapper Yo Gotti kutoka Marekani, amemzawadia mwanae gari aina ya Benz Suv katika sherehe ya siku yake ya kuzaliwa.

Yo Gotti amempatia zawadi hiyo mtoto wake huyo wa kike, Kayla ambaye ametimiza miaka 16.

Baada ya kukabidhi zawadi hiyo, rapper huyo aliandika ujumbe kwenye mtandao wa Instagram unaosomeka, “Bought My Lil ❤️Benz For Her Birthday, She walked Out And Said “But Ion Know How To Drive” 🤷🏽‍♀️🙈.. I Said Well Now You Motivated ! 💨💨💨#HappyBirthday #Kayla #MyDaughter.”

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW