Picha
Picha: Red Carpet – Uzinduzi wa filamu ya Lulu ‘Foolish Age’
Tazama picha za red carpet kwenye uzinduzi wa filamu mpya ya Lulu, Foolish Age uliofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Jacky Wolper
Lady Jaydee
Lucci Da Don
Elizabeth Lulu Michael
Lulu akiwa na Mkurugenzi wa Proin Promotions Mr Lukaza
Ray akiwa na mashabiki wake
Ray
Sandra na Joti
Steve Nyerere na Mr Lukaza wa Proin Promotions
Tino
Barnaba
Batulli
Ceaser akimhoji Mzee Chilo
Wastara