Burudani

Picha: Remy Ma na Lil Kim waandaa hili pamoja

Je unatamani kusikia ngoma ya pamoja kati ya Remy Ma na Lil Kim? Basi kiu yako hiyo inaweza ikakatwa muda wowote.

Kwa mujibu wa maneno waliyoandika kwenye picha walizoweka Instagram, wasanii hao wanaonekana tayari kuna kazi wamefanya pamoja. Lakini pia kwenye kazi hiyo Hunnit Dat naye anawezekana ametoa mchango mkubwa mpaka kufanikisha.

Kupitia mtandao huo, Kim ameweka picha akiwa na Remy pamoja na Hunmnit na kuandika, “???We just made history @1hunnitdash @remyma #lilkim #queenbee #beehive #lilkimseason #studioflow.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents