Burudani
Picha: Rihanna ang’arisha majarida matatu ya W Korea
Rihanna ameungana na jarida la W Korea kusherehekea miaka 10 tangu kuanzishwa kwake kwa kubariki makava matatu ya jarida hilo la mwezi March. Tazama picha za mrembo huyo hapo chini.