Videos
Picha: Rocawear ya Jay Z yamchukua mrembo Draya Michelle kama kisura wake
Kampuni ya nguo ya Rocawear iliyoanzishwa kwa ushirikiano wa Jay Z na Damon Dash, imeamua kuja kwa kishindo sokoni kwa kumchukua mrembo Draya Michelle kama kisura wa nguo hizo.
Rocawear ilianzishwa 1999 na kujihusisha na kutengeneza nguo za aina mbalimbali. Draya ni staa wa reality TV show ya “Basketball Wives LA”.