Michezo
Picha: Rooney na mkewe Coleen wamuanika hadharani mtoto wao wa nne
Mchezaji waklabu ya soka ya Everton, Wayne Rooney na mkewe Coleen Rooney wamemuonyesha mtoto wao wanne wa kiume kwa mara ya kwanza.
Mtoto huyo ambaye amezaliwa wiki hii, tayari amepewa jina la Cass Mac Rooney.
Mac ameungana na ndugu zake wengine ambao ni Kai (8), Klay (4) na Kit (2).