Burudani ya Michezo Live

Picha: Saa hii ya Davido ina thamani ya shilingi milioni 264

Saa mpya anayovaa Davido inaweza kujenga nyumba ya kifahari.

12747564_914466898671371_1647619267_n

Saa hiyo aina ya Rolex Oyster Perpetual Datejust inauzwa $120,000 ambazo ni takriban shilingi milioni 264 za Tanzania.

12747833_1750677485167547_1436724147_n

Staa huyo aliamua kutumia snapchat kuitaja bei ya saa hiyo baada ya watu wengi kutaka kujua gharama yake.

dv1-2

Staa huyo wa Nigeria aliyesainishwa na label ya Sony hivi karibuni anafahamika kwa maisha yake ya kifahari na anamiliki pia mjengo huko Atlanta, Marekani.

12750152_778993335566053_253922177_n

dv4-3

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW