Michezo

Picha: Sanchez alivyosafiri na Man United kuifuata Yeovil Town

Klabu ya soka ya Manchester United imesafiri leo kuelekea Yeovil eneo lililopo Kusini mwa Somerset kwa ajili ya kucheza mchezo wao wa raundi ya nne michuano ya kombe la FA na timu ya Yeovil Town.


Alexis Sanchez akiingia kwenye ndege akiwa na wachezaji wenzake wa Manchester United

Katika kikosi hicho kilichosafiri kuelekea huko pia yupo mchezaji wao mpya, Alexis Sanchez ambaye amesajiliwa kwa mabadilishano akitokea Arsenal.

Sanchez anatarajiwa kucheza katika mchezo huo ambao tachezwa leo (Ijumaa) majira ya saa 4.55 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents