Tupo Nawe

Picha: Segere Original watikisa jukwaa na Sauti za Busara

Kikindi cha ngomza za asili ya Kizarao kutoka Tanzania, Segere Original wameweza kuamsha furaha kwa mashabiki zao kwa kutoa burudani ya muziki wa asili unaofanywa na kikundi hicho.

Kikundi hicho ambacho kilianzishwa zaidi ya miaka kumi iliyopita kiliweza pia kumtambulisha kijana wao mdogo anayefanya muziki wa Singeli aitwaye Elisha Dafa maarufu kama Dogo Elisha.

Dogo Elisha naye aliimba nyimbo zake kama vile :- ‘Rudi Baba’ na ‘Maisha ya baade’ na hii ikiwa ni mara yake ya kwanza kutoa burudani katika jukwaa kubwa la muziki Afrika.

Dogo Elisha akitoa burani

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW