Picha

Picha: Serena Williams anavyo enjoy ujauzito

Ikiwa sasa inakaribia mwezi tangu tujue kuwa mchezaji tennisi namba moja kwa ubora duniani kwa upande wa wanawake Serena Williams ana ujauzito,na kuamua kukatisha mchezo wake wa tennis kwa muda mpaka ajifungue.

Mwanadada huyo mwenye miaka 35 anategemea kupata mtoto wake wa kwanza na mchumba wake Alexis Ohanian,ameamua kupost picha zake akiwa katika vazi jeusi la beach maeneo ya Marina Bay,kupitia akaundi yake ya Instagrama.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents