Picha
Picha: Shaa ashoot video ya Sugua Gaga, Magomeni Dar
Tegemea kuona sherehe za uswazi zilivyo kwenye video mpya ya Shaa, Sugua Gaga. Muimbaji huyo ambaye kwa sasa yupo chini ya usimamizi wa kampuni ya Mkubwa na Wanae ya Said Fela, ameshoot video ya wimbo huo maeneo ya Magomeni jijini Dar es Salaam. Muongozaji wa video hiyo ni Adam Juma. Tazama picha za uchukuaji wa video hiyo.
Source/photo credits: GongaMX, Slide Visuals