Picha

Picha: Show ya kwanza ya Q-Chief baada ya miaka mitano (New Maisha Club)

IMG_5202 (400x600)

Msanii mkongwe nchini Abubakar Katwila aka Q-Chief jana Jumaili alifanya show ya kwanza baada ya miaka mitano katika ukumbi wa New Maisha Club jijini Dar es Salaam. Katika show hiyo, Q-Chief alisindikizwa na wasanii wenzie ambao ni pamoja na Banana, H-Baba, Beka, Cassim, Barnaba na wengine.

Hizi ni baadhi ya picha za show hiyo.

IMG_5117 (400x600)

IMG_5123 (400x600)

Ally Nipishe
Ally Nipishe

IMG_5136 (400x600)

Cassim Mganga
Cassim Mganga
Beka
Beka
Banana
Banana
H-Baba
H-Baba

IMG_5201 (400x600)

IMG_5202 (400x600)

IMG_5204 (400x600)

Shabiki akiwa na hamu ya kuisikia sauti ya Q kwa ukaribu
Shabiki akiwa na hamu ya kuisikia sauti ya Q kwa ukaribu
Q-Chief akiimba kwa hisia
Q-Chief akiimba kwa hisia

IMG_5223 (400x600)

IMG_5239 (400x600)

Q-Chief akiwa na dancers wake
Q-Chief akiwa na dancers wake
Q-Chief akipongezwa shabiki
Q-Chief akipongezwa na baba yake mzazi

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents