Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Picha: Show za Harmonize nyumbani kwao Mtwara Wekeend hii

Msanii kutoka WCB, Harmonize weekend hii alikuwa na tour nyumbani kwao Mtwara, licha ya show pia alitembelea Hospitali ya Mkoa na kuwapa pole wagonjwa  pamoja na fedha. Hapa tumekuwekea baadhi ya picha kutoka kwenye show zake mbili alizofanya ambapo pia aliongozana na Young Killer, Shilole na Aunty Ezekeli.

Aunty Ezekeli kabla ya show kuanza

Young Killer

By Peter Akaro

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW