Habari

Picha: Spika Ndugai mgeni rasmi katika kongamano la mtandao wa wanamaombi Tanzania

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai mgeni rasmi katika kongamano la mtandao wa wanamaombi Tanzania (APN) Mjini Dodoma.


Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mchungaji Kelvin Ngaeje wa kanisa la Anglican baada ya kualikwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Kongamano la Mtandao wa wanamaombi Tanzania (APN) uliofanyika leo katika ukumbi wa Chuo kikuu cha St.John kilichopo Mjini Dodoma


Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akisaini kitabu cha wageni kabla ya kufungua Kongamano la Mtandao wa wanamaombi Tanzania (APN) lililofanyika leo katika ukumbi wa Chuo kikuu cha St. John kilichopo Mjini Dodoma


Wanamaombi wa Mtandao Tanzania (APN) wakimsikiliza Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (hayupo kwenye picha) wakati akifungua Kongamano la Mtandao wa wanamaombi Tanzania (APN)uliofanyika leo katika ukumbi wa Chuo kikuu cha St. John kilichopo Mjini Dodoma.


Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili kushoto)akizungumza wakati akifungua Kongamano la Mtandao wa wanamaombi Tanzania (APN) lililofanyika leo katika ukumbi wa Chuo kikuu cha St. John kilichopo Mjini Dodoma. kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Dkt. Emmanuel Mbennah, Askofu Dudly Magon (wa pili kulia) na Mchungaji Can Ruwa (kulia).

PICHA NA OFISI YA BUNGE

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents