Michezo

Picha: Steve Curry akisherehekea ushindi wa NBA pamoja na familia yake

Baada timu yake ya Golden State Worriors kutwaa ubigwa wa NBA mwaka huu, mchezaji Steph Curry ameonekana akila bata la nguvu katika fukwe za Hawaii.

Mchezaji huyo akiwa na familia yake pamoja na wazazi wake wameonekana mwenye furaha katika fukwe hizo zilizopo katika maeneo ya nchi ya Marekani. Hizi ni baadhi ya picha zao wakiwa katika fukwe hizo.

Mchezaji huyo alikuwa alikuwa akinywa pombe, akizuta sikara na akionesha mwili wake unaowapagawisha warembo wengi duniani.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents