Picha

Picha: Swahili Radio ya Washington DC kuanza kusikika hivi karibuni

Swahili Radio, ni radio iliyoanzishwa jijini Washington DC, Marekani na kampuni ya, MMK Media Group.

Alex4
Alex Kussuwi akiwa studio kuangalia hatua radio ilipofikia

Alex&Dmk
Alex na Dickson Mkama

Radio hiyo pamoja na TV zote za online bado zipo kwenye majaribio na zitaenda hewani muda wa majaribio utakapomalizika.
MMK Media Group inamilikiwa na Alex Kassuwi, Augustino Malinda na Dickson Mkama DMK.

Alex2

Alex3

dmk

dmk4

dmk5

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents