Burudani

Picha: Tamasha la ‘Castle Lite Unlocks’ lilivyofanyika Leaders

Hatimaye tamasha lililokuwa likisubiriwa kwa hamu kubwa kwa kipindi kirefu la Castle Lite Unlocks limefanyika usiku wa Jumamosi hii ambapo kubwa zaidi ameshuhudiwa rapper Future kutoka Marekani na Cassper Nyovest wa Afrika Kusini wakitumbuiza kwa mara ya kwanza hapa nchini.

Tamasha hilo ambalo limefanyika katika viwanja vya Leaders, wasanii kibao wametumbuiza akiwemo Diamond Platnumz, Weusi, Navy Kenzo na Vanessa Mdee. Hizi ni baadhi ya picha za tamasha hilo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents