Burudani

Picha: Tamasha la Lady in Red la mwisho lilivyofanyika Dar

By  | 

Usiku wa kuamkia Jumamosi hii kwenye ukumbi wa King Solomon limefanyika tamasha la mitindo la Lady in Red ambalo huandaliwa kila mwaka na designer mkongwe nchini Asia Idarous.

Tamasha hilo lilihudhuriwa na madasigner wakongwe akiwemo Khadija Mwanamboka, Mustafa Hassanali, Martin Kadinda na Katibu Mkuu BaASATA pamoja wageni wengine waliolikwa. Hata hivyo hilo ndio litakuwa tamasha la mwisho kuandaliwa tena na Asia baada ya kuliandaa kwa miaka 15 mpaka sasa.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments