Picha

Picha: Tamasha la Matumaini – Mechi Bongo Fleva vs Bongo Movie

Hizi ni picha za mechi ya wanamuziki wa Bongo Flava na waigazaji wa Bongo Movies ambapo Bongo Flava waliibuka na ushindi 2-1 kwa njia ya penalti.

Abdu kiba na M 2 the P
Abdu kiba na M 2 the P

Bongo fleva wakishangilia goli lao

Bongo Movie wakipasha misuli
Bongo Movie wakipasha misuli

Bongo movie wakishangilia baada ya kusawazisha
Bongo movie wakishangilia baada ya kusawazisha

Bongo Movie wakitoka vyumbani kuingia uwanjani
Bongo Movie wakitoka vyumbani kuingia uwanjani

Duu!Ben anaonekana muoga kweli mana mmhh!!
“Duu!Ben anaonekana muoga kweli maana mmhh!!

H.Baba kapteni wa Bongo fleva akipokea kingombe baada ya kushinda kwa penart
Nahodha wa Bongo Fleva, Hamis aka’H Baba’ akipokea kombe kutoka kwa Mhe. William Ngeleja

H.baba na mfungaji wa goli la Bongo fleva Goddy Mokonzi
H.baba na mfungaji wa goli la Bongo fleva Goddy Mokonzi wakishangilia

Kalapina
Kalapina

M 2 the P akionyesha umaridadi wake uwanjani
M 2 the P akionyesha umaridadi wake uwanjani

Mchezani mmoja wa bongo fleva akiwa chini
Mchezani mmoja wa bongo fleva akiwa chini

Rey akiwa chini
Ray akiwa chini

Rey akiwa katikati ya uwanja kwa kuanzisha mpira
Ray akiwa katikati ya uwanja kwa kuanzisha mpira

Steve Nyerere alipokuwa akitoka
Steve Nyerere alipokuwa akitoka

Wachezaji wa bongo Fleva wakijiandaa kuingia uwanjani
“Wachezaji wa Bongo Fleva wakijiandaa kuingia uwanjani

Wachezaji wa bongo Movie wakielekezana jambo hapo
Wachezaji wa bongo Movie wakielekezana jambo hapo

Wachezaji wa Bongo Movie wakiwa katika Picha ya pamoja
Wachezaji wa Bongo Movie wakiwa katika picha ya pamoja

wakitoka mapumziko bongo flava walikuwa wakiongoza kwa goli moja kwa bila
wakitoka mapumziko bongo flava walikuwa wakiongoza kwa goli moja kwa bila

Wastara alikuwa jukwaani akiangalia mpambano
Wastara alikuwa jukwaani akiangalia mpambano

IMG_6831

IMG_6844

IMG_6847

IMG_6851

IMG_6856

IMG_6864

IMG_6866

IMG_6868

IMG_6870

IMG_6875

IMG_6877

IMG_6878

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents