Burudani ya Michezo Live

Picha: Tazama jinsi Millen Magese alivyosherehekea siku yake ya kuzaliwa

Millen Magese aliongeza idadi ya miaka yake ya kuzaliwa December 31, 2016.

Kwa kuzingatia mengi anayopitia, aliamua kufanya birthday party ya kukata na shoka na kualika marafiki na watu wake wa karibu, nchini Afrika Kusini anakoishi.

Hizi ni picha alizoweka kwenye Instagram siku chache zilizopita kuonesha namna alivyosherehekea siku hiyo, of course pamoja na kuukaribisha mwaka mpya, 2017.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW