BurudaniPicha

Picha: Tazama Mazoezi ya Grace Matata na Flaviana Matata, si mchezo

Huenda majina yao ya mwisho yakakuchanganya, lakini unapaswa kuelewa ni majina tu ila sio ndugu wa damu. Grace akiwa Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Flaviana akifanya Fashion na Modeling.

Grace na Flaviana

Sasa hawa wawili wamekuwa wanashare picha mtandaoni wakifanya mazoezi yao, kwa leo nimekusogezia hizi hapa.

Tuanze na hizi za Grace Matata

Zifuatazo ni za Flaviana Matata

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents