Burudani

Picha: TBT za AY, FA, Salama Jabir na Jide, lazima ushangae

Leo ni Alhamisi siku ambayo watu mbalimbli pamoja na mastaa wanashare picha zao za zamani kwenye mitandao na ku- hash tag (Throwback Thursday). Leo tumekusongezea hizi kutoka kwa Lady Jaydee, AY, Mwana FA na mtangazaji Salama Jabir.

AY, Mwana FA, Lady Jaydee na Salama Jabir

Picha zenyewe hizi hapa chini;

Lady Jaydee, AY na Salama Jabir

AY na GK

Marehemu Mangwea, Banana Zoro na Mwana FA
Lady Jaydee
Salama Jabir

 

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents