Habari

Picha: Tetemeko la ardhi nchini Taiwan

By  | 

Watu wanne wamefariki na wengine wamekwama katika majengo baada ya tetemeko la ardhi la ukubwa wa 6.4 lilopiga katika mji wa Hualien, Taiwan.

Majengo matano yanaripotiwa kuharibika vibaya na yapo katika hatari ya kuanguka, huku watu zaidi ya 140 hawajafikiwa na waokoaji.

Shirika la Habari la Taiwan limeripoti kuwa tetemeko lilopika usiku wa manane usiku ya Jumanne lilijeruhi watu 225.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments